Hivi majuzi niangalia kito cha habari cha kimataifa cha CNN, walitangaza moja kwa moja Secretary of state wa Marekani Mike Pompeo, akihojiwa na senetors wa Republican na Democratic juuu ya Utawala wa RAIS Donald Trump katika masuala ya kimataifa hususa , Russia , North korea na Iran. Mike Pompeo was grilled like a little boy . Cha kujifunza kwa nchi za kiafrika ni kuwa hakuna kiongozi aliye juu ya sheria ,unaweza kuhojiwa kwa mujibu wa sheria