Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,870
- 34,357
Watazamaji Mchezaji Mpira Mr Obama anatoka uwanjani na nafasi yake anaingia Captain Mr Trump. Na Mpira bado unaendelea..................
Nyie si mlishatutangazia hamtatoka hata kwa kura?! Sasa unasema nini hapa?!Ikishinda chagadema democrasia ipo, ikishindwa hamna democrasia.
Shame on you
Anayechagua Referee na waamuzi wengine kwenye mpambano ndio anayemaliza mechi na akiamua atataka mechi irudiwe.Ikishinda chagadema democrasia ipo, ikishindwa hamna democrasia.
Shame on you
Watazamaji Mchezaji Mpira Mr Obama anatoka uwanjani na nafasi yake anaingia Captain Mr Trump. Na Mpira bado unaendelea..................
View attachment 462050 View attachment 462050
Kwa Bara la afrika hata kama watapewa miaka 1000 ya mbele hakutakuwa na Demokrasia ya ukweli Viongozi wa kisiasa bara la Afrika ni viongzoi wenye uchu wa kung'ang'ania madaraka hata kama atashindwa hataki kutoka mpaka mtutu wa bunduki ndio anaweza kutoka.Niambie nchi gani ya barala Afrika yenye Demokrasia ya ukweli?Ndugu USA imeanzishwa mwaka 1776, Tanzania mwaka 1961, kuna tofauti kubwa sana hapo, chukulia kwa mfano nchi ya Barazili ina miaka zaidi ya 200 lkn imeanza kujua demokrasia miaka 30 iliyopita, hivyo kwa Afrika bado sana miaka 50 ni michache sana hasa ukichukulia kwamba Afrika hatujawahi kuwa na Utamaduni kama wa Kizungu haya mambo yote Wazungu ndiyo wameyaleta, nikimaanisha kwamba kabla ya kuja Wazungu hakukuwa na mambo ya uchaguzi kumchagua Raisi sijui Vyama n.k. hivyo kutulamumu Waafrika siyo kuwa fair, kwa maoni yangu!
Na isitoshe huyo ni mfumo wa Kizungu lkn Dunia nje ya USA na EU hakuna hayo mambo au yako tofauti na maisha yanaendelea!
Kwa Bara la afrika hata kama watapewa miaka 1000 ya mbele hakutakuwa na Demokrasia ya ukweli Viongozi wa kisiasa bara la Afrika ni viongzoi wenye uchu wa kung'ang'ania madaraka hata kama atashindwa hataki kutoka mpaka mtutu wa bunduki ndio anaweza kutoka.Niambie nchi gani ya barala Afrika yenye Demokrasia ya ukweli?
Mwalimu aweza kuwa na miaka 50 na chetichake cha ualimu mwanafunzi wake akawa PHD holder kwa miaka 40. Age doesn't matter Ndugu utashi na kuacha ubinafsi ndio kila kituNdugu USA imeanzishwa mwaka 1776, Tanzania mwaka 1961, kuna tofauti kubwa sana hapo, chukulia kwa mfano nchi ya Barazili ina miaka zaidi ya 200 lkn imeanza kujua demokrasia miaka 30 iliyopita, hivyo kwa Afrika bado sana miaka 50 ni michache sana hasa ukichukulia kwamba Afrika hatujawahi kuwa na Utamaduni kama wa Kizungu haya mambo yote Wazungu ndiyo wameyaleta, nikimaanisha kwamba kabla ya kuja Wazungu hakukuwa na mambo ya uchaguzi kumchagua Raisi sijui Vyama n.k. hivyo kutulamumu Waafrika siyo kuwa fair, kwa maoni yangu!
Na isitoshe huyo ni mfumo wa Kizungu lkn Dunia nje ya USA na EU hakuna hayo mambo au yako tofauti na maisha yanaendelea!
Mwalimu aweza kuwa na miaka 50 na chetichake cha ualimu mwanafunzi wake akawa PHD holder kwa miaka 40. Age doesn't matter Ndugu utashi na kuacha ubinafsi ndio kila kitu
Hakuna uhusiano kabisaaaaaHapana kwenye Nchi inamata sana, ngoja nikuulize swali uko tayari Binti yako wa miaka 14 kusex na boy friend wake nyumbani kwako, na hii iwe kisheria?
Hakuna uhusiano kabisaaaaa
Kwani uchaguzi hatufanyi? Au unadhani demokrasia ni kumruhusu mwanao asex nyumbani kwako kabla ya Ndoa?Kwani demokrasia kwako maana yake nini? Unafikiri ni Uchaguzi tu?
Kwani uchaguzi hatufanyi? Au unadhani demokrasia ni kumruhusu mwanao asex nyumbani kwako kabla ya Ndoa?
Mbona unajishtukia km mtu aliyelowa makalio? Ni wapi MziziMkavu ametaja CDM au angalau Tanzania? Yeye kaizungumzia Afrika na as we are talking tunao mfano Gambia, nini kinakufanya ujihisi unanuka kwapa?Ikishinda chagadema democrasia ipo, ikishindwa hamna democrasia.
Shame on you
Hata mimi naweza kukuuliza swali hilo hilo nitajie nchi yoyote Dunia hii yenye demokrasia ya ukweli!
Labda uko sawa kwenye hilo la miaka lkn usisahau kwamba Ulaya wana Historia ndefu sana ya hii tunayoiita demokrasia kuanzia Ugiriki miaka 500 kabla ya Kristo, na Afrika hii demokrasia ya Kizungu/Ulaya imekuja karne ya 20 na Wazungu, hata hao Wazungu wenyewe pmj na miaka yote hiyo bado hawaja perfect hiyo hiyo demokrasia yao!
Nafikiri kosa kubwa sana tunalolifanya Waafrika ni kufikiri kwamba demokrasia maana yake Uchaguzi, yaani kuwa na vyama mbali mbali vinafanya uchaguzi mshindi akipatikana basi ndiyo demokrasia, hapana demokrasia ni zaidi ya hapo, ina mambo mengi sana naweza kukupa mfano kwa Wazungu ukimchapa mtoto wako unashitakiwa na Serikali kwa maana nyingine hauruhusiwi na hiyo ni demokrasia yao, kwa Wazungu mtoto akifikisha miaka 14 (baadhi ya nchi wengine 16) anaruhusiwa kisheria ku-sex maadamu ana-sex na kijana mwenzake chini ya miaka 20 na wewe kama Mzazi huwezi kumfanya kitu kwa maana inaruhusiwa kisheria hivyo ni haki yake ya kidemokrasia, na mifano mingine mingi ya kidemokrasia ya Kizungu ambayo haikubaliki kwenye tamaduni nyingine lkn kwa tafsiri yako utasema kwa kuwa sisi hatukubali watoto wetu wa miaka 16 wafanye sex basi hatuna demokrasia?
Marekani hakuna democracy.Watazamaji Mchezaji Mpira Mr Obama anatoka uwanjani na nafasi yake anaingia Captain Mr Trump. Na Mpira bado unaendelea..................
View attachment 462050 View attachment 462050