HAPA SIKUPINGI MKUU,NI MANZI KISU HASWA..Kumbe wengi tunamfahamu 😂😂Wangari ni Mwanamke mzuri, HAPA SIWEZI KUWEKA UNAFIKI.
Ni mwanamke Mwenye mwonekano mzuri, Umbo lake nzuri, Sura nzuri ,Rangi nzuri .
Ni aina ya wanawake ambao akipita Mbele yako lazima akuturn on !!!.
Shida Yake, nihizo ambazo zimeelezwa sana Kwa nyuzi .
BUT DEEP DOWN FROM MY HEART, SHE IS SO BEAUTIFUL. SEXY AND HOT , SHE IS LIKE AN ANGEL ALIYEPOTEA TOKA MBINGUNI.
Tupe tahadhari Na sisiSijakuelewa.
Nawasalimu kwa jina la kimasiharaa...!!!Wangari kuna Haja ya Kutumwa Picha zake humu aisee maana kawagonganisha vijana humu... JF watu mnakulana malayaaa nyiee yani khaaaa mnajuana nje ndani
Eehhh najua mnajikumbuka nyote.
Mliniponda ponda sana kweli kweli .
Mkuu watu wanakulanaa aiseee
😂😂😂😂😂😂Wangari kuna Haja ya Kutumwa Picha zake humu aisee maana kawagonganisha vijana humu... JF watu mnakulana malayaaa nyiee yani khaaaa mnajuana nje ndani
Unataka kusema we hulagi?Mkuu watu wanakulanaa aiseee
We hukumkula mzee wa kumeza Kimasihara 😬😀😀😀Wangari kuna Haja ya Kutumwa Picha zake humu aisee maana kawagonganisha vijana humu... JF watu mnakulana malayaaa nyiee yani khaaaa mnajuana nje ndani
Humi nlipata namba za kama wawili hivi ila Kiukweli DP zao tu nikaahirishaaUnataka kusema we hulagi?
Hiyo Pisi siijui hata kwa picha itumeni bhasiWe hukumkula mzee wa kumeza Kimasihara
😬😬😬Hata shetani ana shangaa kwa hili 😂😂😂Unataka kusema we hulagi?
Mi umeniweka kundi gani sasa🤣🤣🤣Nasoma kila reply kwa tafakuri kubwa sana.. Na kila reply inawakilisha kundi mojawapo ya haya
. Wenye vifua na makoromeo
. Wasio na vifua na makoromeo
. Ma introverts
. Ma extroverts
Halafu na hadhira inayosoma na kukaa kimya
Inayosoma na kuchochea kuni na mafuta
Inayoshadadia na kufurahia haya na mengine yote
Inayoshauri, kuonya na kutahadharisha...
Halafu na wanaoogopa!
Mimi peke yangu ndo niliponagami nilikula ban takatifu sana...!!!sasa hivi tumekua sana!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Sema ulikuaga na utoto sana na wewe. Siku hizi umekua na busara na hupendi malumbanoEehhh najua mnajikumbuka nyote.
Mliniponda ponda sana kweli kweli .
Nakumbuka aisee! Palikua pamoto humu!!Haswaa.......
Mimi iliwahi nikuta hiii, kupitia huyu Bidada .... Waangari maathai a.k.a Manengelo ...a.k.a Mbityaza ,kabla ,akijiita Mrs Air.
Wakat huo najiita Vladmirovich Putin
mambo yakawa motoo mpaka kuweka miadi ya Kuzaa mtoto wakike , wakati huo akiishi Jiran na Dar.
Ila baada ya muda, tulipishana Kwa mambo Fulani ivi ambayo AKILI YANGU Ilishtuka.
Ebwanaaaa nikaja kupishana naye kwenye UZI mmoja hivi.....
Demu alinitapikiaa, demu akaanza kunichomeaaa maneno, mashost zake wakaunganaaa wee kunishambuliaaaa
BAD THING akaamua kutumia KILE alichokijua Kwa wakat ule wa motomoto , kunihukumu humu JF.
NikamPM...plz achaaa...wapiii
Plz...achaaa.....wapiiiiiiiii
Plz ..acha....wapiii..
Plzz sio vzuri kuandika hayooo..wapiiii
Weee akaungana na Mashost zake , mashambulizi yakawa ya makombora ya masafa marefuu..
UONGOO akaufanya ukawa mwingiii juuu yangu..
Kuna njemba ziko kama wanawake nazo zikashabikiaaa...
DEMU AKAANZA KUTOA DETAILS ZA NDANI NDANI KABISA...
NILIPOONA UONGO NA UCHAFUZI UNAZIDI...
NIKAAMUA KUPIGA SCREENSHOTS PM, NIKAZIMWAGA WAZIIIIIII
ILI WATU WAJUE ,NANI MKWELI .... ( HILI JAMBO NILILITENDA NA SIKUWAHI KABISA KUJUTIA )
NDIO MAANA SIKUBADILI ID YANGU WALA SIKUKIMBIA .
IKAWA MWISHO !!!!
BAHAT MBAYA, ALIYEZOEA KUNYONGA, KUCHINJA HAWEZI...... ALIKUJA KUJICHANGANYA KWA WAHUNI...WAHUNI,WASOTAKA UJINGAAA ,WAKAMFANYA MABAYA, NAO WAKAMWAGAAA.....
Ni mzuri kweli yule dada hilo halipingikiWangari ni Mwanamke mzuri, HAPA SIWEZI KUWEKA UNAFIKI.
Ni mwanamke Mwenye mwonekano mzuri, Umbo lake nzuri, Sura nzuri ,Rangi nzuri .
Ni aina ya wanawake ambao akipita Mbele yako lazima akuturn on !!!.
Shida Yake, nihizo ambazo zimeelezwa sana Kwa nyuzi .
BUT DEEP DOWN FROM MY HEART, SHE IS SO BEAUTIFUL. SEXY AND HOT , SHE IS LIKE AN ANGEL ALIYEPOTEA TOKA MBINGUNI.
Tunakulanaaa mnoooo!!!!hivi mnategema jinsia ke na me zikimeet wasitiane?!!!Mkuu watu wanakulanaa aiseee