Yeah namie kama mzigua, sikupenda alivomuattack yule kaka kwa kumsema hata akipewa kazi akicheleweshwa mshahara atatangaza....na pia kuanikwa vile haikuwa poa.
Ila pia nlikuaga nabaki hoi zile mishe. Kwamba chini ya hili jua sijui alibakiza biashara gani
kunangwa sasa!!! Watz wavivu, hatujitumi, mtz mimi nlikua nasoma comments tu....