Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,543
- 81,345
Seems like wewe dada una mambo mengi sana yakiwaki. Kuna nyuzi nyingi nimeonaga huko zamani zinahusu uduwanzi wako na other things you do behind the curtains. (Unajijua).I agree mkuu JF mods wanafurahia mitifuano ya kijinga, wana uwezo kabisa JF iwe safe kwa wanaotumia huu mtandao, yaani imekua kama desturi vile hatujui baada ya mtifuano huu na ID hii ya kike kupotea, mdada gani atakua next victim? VERY SAD....
Vere vere soon, ila kwa sharti la kufunga PM watu wasituzoee wakajua maisha yetu outside JF....Tunaanza lini sasa kuvimba 😂
Siyo dhambi kuwa na exposure katika mambo mengi.Saint Anne, kuna wakati mtu inabidi u lay low. Kikisemwa kile upo, hiki unajua, kingine ulikuwepo...yaani mtu unasima hadi unajiuliza huyu kiumbe mbona ni omnipotent, hata sir God hamfikii kwa info na mambo anayofanya hapa duniani [emoji23][emoji23].
Kuna siku nilimwambia mtu mmoja, hem punguza kidogo basi, mbona it's like unajua kila kitu, nikaambulia tysi, Ila ukweli katika jamii tujifunze kusikiliza kidogo, tuongee na kusikiliza pia.
Sijamsema mtu.
Chalii ake hizi pigo sijakuzoea nazo. PlssssSeems like wewe dada una mambo mengi sana yakiwaki. Kuna nyuzi nyingi nimeonaga huko zamani zinahusu uduwanzi wako na other things you do behind the curtains. (Unajijua).
You do a lot of bs, you've got an attitude na kujiona kuwa you are very clever and you can outwit others. Mbaya all of these times unafanya your bs you end up proving yourself to be an absolute ah.
Remember the last time you fucked up? Juzi juzi tu hapa last month. Remember? Au niweke hapa?
Ndio ID za mtu mmojaAaah kwani Mpauko ndio Miguu ya Kuku? Basi itakuwa nilikuwa napotezea mada zake
Sawa kabisa mkuu! Tuendelee kula mtori, naona nyama bado ziko mbali[emoji23]Siyo dhambi kuwa na exposure katika mambo mengi.
Kuna watu Mungu amewapa hiyo neema ya kujua mambo mengi.
Salama mkuuNipo mkuu niko nasoma comments hapa. Nilipotea kidogo ila sasa hivi nimerudi. Salama?
Unapewa bakuli kubwa la mtori, nyama ziko mbali, hadi unashiba hujakutana na finyango hata moja. Ila kwa vile kesho ni J1, tuendelee tu!Seems like wewe dada una mambo mengi sana yakiwaki. Kuna nyuzi nyingi nimeonaga huko zamani zinahusu uduwanzi wako na other things you do behind the curtains. (Unajijua).
You do a lot of bs, you've got an attitude na kujiona kuwa you are very clever and you can outwit others. Mbaya all of these times unafanya your bs you end up proving yourself to be an absolute ah.
Remember the last time you fucked up? Juzi juzi tu hapa last month. Remember? Au niweke hapa?
🤣🤣 tunapigwa fresh vikipoa tunarudi, kwani kufungua email za chap chap sh ngapiVere vere soon, ila kwa sharti la kufunga PM watu wasituzoee wakajua maisha yetu outside JF....
Tusije pigwa na kitu kizito na sie🤣🤣🤣
Tiliza mtori nyama zipo danta.Unapewa bakuli kubwa la mtori, nyama ziko mbali, hadi unashiba hujakutana na finyango hata moja. Ila kwa vile kesho ni J1, tuendelee tu!
ni kama serial killers wanavo feel nadhani, raha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi wanaoleta hizo mambo mwisho wake wanafeel namna gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka aje abishe ili nimpe.Chalii ake hizi pigo sijakuzoea nazo. Plssss
Kwanza tukipigwa tunakufa??🤣🤣 tunapigwa fresh vikipoa tunarudi, kwani kufungua email za chap chap sh ngapi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa kabisa mkuu! Tuendelee kula mtori, naona nyama bado ziko mbali[emoji23]
Hakuna picha, nasubiri zijae kidogo ili nikija nisafishe macho na moyo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eli twende selfika
Mwenzangu hii message yangu au ni ya mtu? Kama ni ya kwangu pole wewe...weka unachotaka kuweka ,wafurahishe watu ila ID ya Rebeca itabaki hivi hivi,ukidhania mimi ni mjanja ama napretend kuwa mjanja,hunipunguzii lolote,sipo hapa for validation reasons...utajiju!Seems like wewe dada una mambo mengi sana yakiwaki. Kuna nyuzi nyingi nimeonaga huko zamani zinahusu uduwanzi wako na other things you do behind the curtains. (Unajijua).
You do a lot of bs, you've got an attitude na kujiona kuwa you are very clever and you can outwit others. Mbaya all of these times unafanya your bs you end up proving yourself to be an absolute ah.
Remember the last time you fucked up? Juzi juzi tu hapa last month. Remember? Au niweke hapa?
Unarukaruka sio? Hujui ulichofanya after stories of change awards?Mwenzangu hii message yangu au ni ya mtu? Kama ni ya kwangu pole wewe...weka unachotaka kuweka ,wafurahishe watu ila ID ya Rebeca itabaki hivi hivi,ukidhania mimi ni mjanja ama napretend kuwa mjanja,hunipunguzii lolote,sipo hapa for validation reasons...utajiju!
Ndugu nimefanya nini mbona huwi muwazi,Unarukaruka sio? Hujui ulichofanya after stories of change awards?