Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,487
- 11,703
Unataka kumsajili DEMBA Ba?
KakaKiiza kiutani utani unashangaa unakula mzigo, na hiyo rangi yake ana utamu kama parachichi la moshi lililotoka kudondoka kutokana na upepo mdogo. aya kila la kheri maana naona ndio umeshamaliza mistari hapo, kinachofuata ni mistari ya wekundu.
unakataa nini!!!
sasa hv wanaume ndo wanatongozwa yeye bado analia lia kachanganyikiwa nini...!!!
mkuu ushagamuona DEMBA au unaongelea ile avatar yake
tatizo hapa kishanuka Kaizer kashaitwa unafikiri kuna kitu kitanoga tena
ndio nmekuja mbio
hamna kitu kama hiyo
haya sasa kilio cha mtu mzima, sijui anayeliliwa yuko wapi ajitokeze haraka
Tumia mgongo wangu kutibu
ha haa haa kiaje sasa hebu nipe maujanja
Na ukiona mtu mzima analia.........jua yamemfika......... DEMBA weeeee..........
Preta subiri na wewe watakavyoanza kukulilia, mi simo!
hvi unajiskiaje kidume kizima kinavyojitoa ufaham na kuanza kukulilia hadharan?