Demba tafadhali kwa hili

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
MMU Mpo jamani naomba mniwie radhi najua mpo katika mambo ya kujua hatima ya Bunge Maalumu la Katiba litaishaje ila na Mimi nipo katika mawazo ya kujua mimi nitammliki vipi DEMBA.

Tafadhali naomba uje chini ya umilikiwa mwamvuli mmoja wa kakakiiza.

Niwewe wakuniponya ugonjwa ninaoendelea nao kwa sasa.

Japo humu kuna wapinzani wangu kama hawa

CC Kaizer, Mentor, Asprin, Ben Mugashe, Nicas Mtei, Vin Diesel, watu8 najua ila wapuuze tu sikiliza kilio changu!
 


Ndio umetongoza hivyo????
 
Unataka kumsajili DEMBA Ba?
 
Last edited by a moderator:

Cc Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Dr hii enzi zetu zile za uwindaji.......tulikuwa tunafunga punje ya hindi na kamba....mwanakuku akimeza tu......unakua umemmiliki rasmi........

Hahahah dr umenikumbusha mbali sana....kuku au tetere anawindwa kama samaki awindwavyo kwa ndoana.....
 
Ankal Kaizer ina maana ulitangaza kuwa unataka Mgombea mwenza???? :doh: :doh:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…