carmel JF-Expert Member Aug 24, 2009 2,836 262 Jul 31, 2015 #1 Wajasiriamali nauliza soko la uhakika la samaki aina ya kambale au Catfish....Hivi kuna hotels ambazo wanatumia hawa samaki.? au naweza je kufanya value addition.?
Wajasiriamali nauliza soko la uhakika la samaki aina ya kambale au Catfish....Hivi kuna hotels ambazo wanatumia hawa samaki.? au naweza je kufanya value addition.?
M mwelya New Member Jul 13, 2015 2 0 Aug 1, 2015 #3 Jaslaws said: Unauzaje kwa kilo..?? Click to expand... Mimi nataka wa nyumban unauzaje
W wa hapahapa JF-Expert Member Aug 22, 2012 7,454 4,376 Aug 2, 2015 #5 Mleta thread, ungetoa na maelezo ya biashara unayouza.
W wa hapahapa JF-Expert Member Aug 22, 2012 7,454 4,376 Aug 2, 2015 #6 Unao wabich au wakavu! Na unaUza kwa sh. Ngapi na ktk ujazo gani ?
Dena Amsi R I P Aug 17, 2010 13,082 4,262 Aug 2, 2015 #7 Hebu sema vizuri bei, ujazo na mahali ulipo usijekuwa uko shinyanga wengine tuko Nachingwea huku ikawa shida kupata
Hebu sema vizuri bei, ujazo na mahali ulipo usijekuwa uko shinyanga wengine tuko Nachingwea huku ikawa shida kupata
Kay87 Member Jul 29, 2015 15 6 Aug 10, 2015 #8 Mie nataka wa kula nyumbani ila nahitaji kambale mkubwa kuanzia kg8 nakuendelea