Kama kweli interest rate ya T bills imefikia kiwango cha 4.15 % hii ni nzuri kwa uchumi wetu, maana hizo Benki na pension funds ambao ndio wanunuzi wakubwa wa T bills wataanza kuangalia sehemu nyingine ambazo wanaweza kupata returns za juu kuzidi hiyo riba. i.e. kutoa mikopa kwa rate kama 6% mpaka 7% kwa wateji ambayo ni pungufu kwa rate ya sasa ambayo iko kwenye 12-16% kwenye benki nyingi ukitaka kukopa hapa nchini
riba ya 35 days Tbill ni chini ya 1%, mfumuko wa bei ni 10% + , naomba kutofautiana na waMzizima anaposema "ni hali nzuri kwa uchumi". Riba kuwa ndogo shurti iendane na mfumuko wa bei, ni lazima nao uwe chiniiiiiiii !

Nachosema kuwa ni hali nzuri kwa maana kuwa imepungua kwa mujibu wa original post sikuangalia vigezo vingine kama inflation. Hata hivyo inflation Tz inategemea kupungua sana miezi michache ijao sababu kuu mbili, moja ni msimu wa mavuno uko karibu hivyo bei za vyakula itapungua. Na pili BoT wanabadili namna walivyokuwa wana calculate hio inflation na kupunguza actual volume ya bei ya vyakula katika hiyo mixed basket wanayotumia kupata mfumuko wa bei. vilevile hii itaendana sambamba na namna Benki kuu nyingine za hapa EA zinavyopata inflation zao.