Dem wa Mshkaji

Bwii89

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
1,001
Reaction score
1,025
Wadau hivi unaweza kua na mahusiano ya kimapenzi na mchumba/ Dem wa rafiki ako endapo walishaachana?? Je ni zipi faida au hasara? Je, mshkaji wako akijua nn kitatokea? Uzi tayari! Maoni plz
 
maoni haya hapa.

wanawake ni wengi kuliko wanaume kitakwimu, kwanini utafute mwanamke ambaye ndio kwanza kabla ya mahusiano unajihoji kama ni halali au la.

imagine alimuona rafiki yako akiwa uchi then na wewe unaenda kumuonesha uchi wako, au sehemu zako sio za siri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…