ikikwama fungua task manager halafu angalia kitu gani kinazidiwa.
kufungua task manager bonyeza ctrl+alt+delet au kwenye taskbar right click kisha chagua task manager
angalia cpu, ram au hdd ipi inazidiwa. utakayoona imefika 100% au inakaribia ujue hiyo ndio inayozidiwa itabidi uibadilishe au uongeze