Dell Latitude D620

PHILE1879

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Posts
645
Reaction score
483
Nikikonekti modem hata bila kufungua kituo cha intaneti MB zinatumika.Nikianza kubrowse tu mb 300 ndani ya nusu zimekwisha bila kudownload hapo ni JF au FB.
Tatizo ni nini?
Ina windows 8
Modem ya 3G airtel.
Msaada please......
 
Check window update setting , kama iko on ujue inaji update automatically, check na turn off.
 
MB 300 kwenye computer ni kidogo sana hizo unaweza kuziona kwenye simu..... Computer ina ma updates kibao na hata ufunguaji wake wa websites ni format inayokula MB zaidi ukilinganisha na simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…