Habari
Nina laptop yangu aina ya Dell touch screen tatizo lake nikwamba ikitingishika/kutingishwa laptop yote ina stop kufanya kazi mpaka uizime kwa button ianze upya.yaan nikwamba yenyewe haitaji kupata msukumo wowote inapowekwa mezani. Tatizo itakuwa nini wadau?mwenye ujuzi wa hili jambo tujulishane.