swali gani sasa hiliKm haina tatizo kwa nn unaiuza?
Nimekutumia namba PM mkuuMzee Baba..naitaka hii .weka number ya simu nikuchek
Asante, ila uko chini sana.Kula 500k bwashee!
Dar es salaam mkuuUnapatikana wapi?
Karibu mkuuHii ingemfaa mtu kama pesa ingekuwepo...
Pia ni dell model gani
nimekucheki inbox mkuuSasa mbona Hamna mawasiliano namna ya kukupata, unapatikana wapi mtu akihitaji
Mkuu acha kukalili ,kwahiyo kila anayeuza kitu lazima kiwe na tatizo, moja ya sababu ni shida binafsi, may be kubadili kifaa awe na kingine kizuri zaidi kwa mahitaji yake nkKm haina tatizo kwa nn unaiuza?
Nakuongeza pesa Leo nitakua Mwenge pale Dance Club. Kama poa njoo tuyajenge, hiki pia ni screen touch, battery inakaa 5hrs, Haina shida yoyote Ile sema speed na storage ndio sijazipendaUnafanya Exchange? Nina Dell i3, ram 4, gb 200
Kubwa sana in sizeHeavy Duty Dell Machine
(engineerng design,grphics design & games)
-storage.
ROM/HDD: 1TB
RAM: 16GB DDR4
Processor: Intel Core i7, 2.4Mhz with graphics card.
System: x64 bit-based processor
Screen: 15.6" screen touch
Keyboard: black
Window 10 pro
Battery: 4hrs
Condition: CLEAN.(haina tatizo lolote)
bei: 650KView attachment 2411207View attachment 2411208