Delivery Services in Dsm

Msomaliii

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
248
Reaction score
341
Habari. Kampuni ya SYNERGY DELIVERY AGENCY, tunafanya huduma za kusambaza aina zote za bidhaa au mizigo ndani ya DSM kwa gharama nafuu kwa masaa14 mfululizo' tafadhali tucheck kwa 0747993851 na Email cantonamimi@gmail.com
 
mbona ueleweki,Jana umesema unatafuta kazi...leo unakampuni ya delivering services....mbona unatia shaka kwa watu.....au Mimi ndio sijakueleea
Kwani mtu akiwa anatafuta kazi!!!,

Maana yake hatakiwi kuwa na kampuni??

Au hatakiwi kunadi bidhaa au huduma ya kampuni nyingine??

Hee jamani mbona tuna kariri sana hivyo!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi kudanganya wakati haina faida kwangu. Naomba mnielewe, bado natafuta kazi na kuhusu hiyo kampuni nadhani bado naruhusiwa kufanya kazi huru kwani sio muajiriwa hivyo naweza kutangaza na kufanya chochote kuendelea kujiongezea kipato. Pia KAMPUNI SIO YANGU ni sehemu ya kibarua tu nnaehitaji kujiongezea kipato.
 
mbona ueleweki,Jana umesema unatafuta kazi...leo unakampuni ya delivering services....mbona unatia shaka kwa watu.....au Mimi ndio sijakueleea
Ndugu bado natafuta kazi na pia bado natafuta kazi kwa njia hii, mfano akipatikana mteja anahitaji huduma hii bado namfanyia ila lengo ni kufanya kazi sio kusibiri tu ajira rasmi ndugu.
 
Mkuu hiyo ni sehemu ya kujiongezea kipato kwani nilikua kibarua serikalini kwa taaluma yangu na wala sio mbaya kuongeza kipato kwa njia nyingine pia. Hii ni part time Job na kwa masaa hayo ndo muda ambao unaweza kuzunguka DSM kwa uhuru na usalama kwa hiyo kazi ya usambazaji wa mizigo ya wateja.
 
Oko sawa Mzee,
Sema sisi watanzania maisha yetu ni ya kukariri sana,

Tunasoma shuleni na chuoni kwa kukariri,

Tukija kwenye maisha tunalazimisha vile tulivyokariri viwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana watu wanaona ni ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…