Najua mambo ya dini hayaruhusiwi humu ndani ila kwa kuwa ni jambo la uhutaji haitakuwa ni tatizo kuliweka hapa.
Ni kwamba nahitaji msaada wa deliverance kiroho kwa ajili ya mwanangu tafadhari mtu anayejua mahali ninapoweza kupata msaada huo tafadhari anijulishe.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada nitakaoupata.
Amen
Sent using
Jamii Forums mobile app