TOTS SHALO Senior Member Joined Sep 24, 2012 Posts 152 Reaction score 25 Jun 27, 2013 #1 Deleva na konda ndani yadaladala kondakita=> Naomba uniulizie kama huyo mzungu anashuka kaliakoo dereva=> wambie abilia wakuulizie mie jino linauma. Abilia hoi kwakicheko.
Deleva na konda ndani yadaladala kondakita=> Naomba uniulizie kama huyo mzungu anashuka kaliakoo dereva=> wambie abilia wakuulizie mie jino linauma. Abilia hoi kwakicheko.
W wikolo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 800 Reaction score 271 Jun 27, 2013 #2 Ha ha ha ha ha! Achana na lugha ya malikia mkuu, inatusumbua lakini bado tunaing'ang'ania tu!