Deki ya DVD imegoma kuwaka

mkayala

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2009
Posts
555
Reaction score
72
wadau naomba msaada,deki yangu ya DVD imegoma kuwaka ile sehemu inayoandika NO DISC AU DAKIKA wakati cd inatembea.Ukiwasha moto unaingia lakini hiyo sehemu imegoma kuwaka na hivyo deki haifanyi kazi
 
umejuaje kama moto unaingia?unataka kusema ukifungua mlango wa hiyo deki unafunguka?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…