M mwana mpendwa Senior Member Oct 6, 2012 171 20 Nov 17, 2012 #1 Wakuu heshima yenu na poleni na majukumu. Mimi ni msichana mwenye degree na diploma tajwa hapo juu, ninaishi Dar es Salaam, natafuta kazi. Naombeni naombeni ushauri na msaada wenu. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
Wakuu heshima yenu na poleni na majukumu. Mimi ni msichana mwenye degree na diploma tajwa hapo juu, ninaishi Dar es Salaam, natafuta kazi. Naombeni naombeni ushauri na msaada wenu. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
M mdunya JF-Expert Member Oct 7, 2012 759 128 Nov 17, 2012 #2 Ukurasa huu kila siku kuna kazi za fani yako. Mtafuta totolucky
M mwana mpendwa Senior Member Oct 6, 2012 171 20 Nov 18, 2012 Thread starter #3 mdunya said: Ukurasa huu kila siku kuna kazi za fani yako. Mtafuta totolucky Click to expand... nashukuru mkuu, nitamtafuta.
mdunya said: Ukurasa huu kila siku kuna kazi za fani yako. Mtafuta totolucky Click to expand... nashukuru mkuu, nitamtafuta.
M mdunya JF-Expert Member Oct 7, 2012 759 128 Nov 18, 2012 #4 mwana mpendwa said: nashukuru mkuu, nitamtafuta. Click to expand... kila la heri ndugu!