Tunashukuru kwa taarifa japo maelezo na tittle kidogo vimepishana njia yaani ni sawa na kusema kiongozi wa dhehebu aharibu kwa ubinadam wake afu utukane waumini wote. Hii mambo inahitaji ushahidi wa bila shaka, ebu umwage hapa wadau wakupe mwelekeo.
ndiyo aliwatoa woteIsijekuwa kwa kuwa ulikamatwa basi umeamua kutunga hii story. Baada ya kutoa hiyo hela aliwafaulisha? Inawezekana wajinga ndio waliwao. Si ajabu aliona kabisa kwamba wamefaulu, then akawaomba rushwa huku akijua matokea ni mazuri. Otherwise unambie SUA hakuna external examiner.
Jamani siku hizi ukiwa SUA kupata degree si lazima ukomae bali kama una mzigo wa kueleweka basi unapata (namaanisha pesa).Kuna lecture moja aliyekuwa anafundisha kozi yenye code EDM 304 aliwaomba rushwa ya 1000,000/=Tsh kwa wale waliofeli mtihani wa chuo (UE) ili awatoe wakati wa probation,wakagoma kumpatia hiyo kitita na hatimate wakaingia kufanya hiya prob bila kutoa chochote na ndipo jamaa alipoleta ngoma haikutembea na maanisha mtihani ulikuwa mgumu kama jiwe kwa kila mmoja.Hapo ndipo jamaa akaanza kuwapangia bei ili wafaulu mtihani huo na garama ya tozo inategemea utakavojieleza, wengine aliwachota 350,000/=,wako wa 250,000/= naaliye mlilia sana alitozwa 100,000/=.JE lecter kama huyu siyo jambazi? Kwanini asichuliwe hatua kali za kinidhamu maana ana dhalilisha chuo? je nyie mnashaurije kuhusu kashfa hii nzito?[/QUOTE
Hapo pekundu (lecture, lecter) unamaanisha nini vile? Mimi tu kukuuliza. Kutokana na jinsi unavyoandika, si rahisi mtu kama wewe kufaulu mitihani ya Mwalimu ambaye yuko serious, na matokeo yake unakimbilia kuchafua Waalimu wako kwenye social media wkt tatizo ni wewe mwenye IQ ndogo na haujitumi kwenye masomo. Jaribu kuwa na staha kwa Waalimu wako na siyo busara hata kidogo kuanza kuwachafua wkt bandiko lako linaonyesha kwamba una uwezo mdogo sana darasani.
Jamani siku hizi ukiwa SUA kupata degree si lazima ukomae bali kama una mzigo wa kueleweka basi unapata (namaanisha pesa).Kuna lecture moja aliyekuwa anafundisha kozi yenye code EDM 304 aliwaomba rushwa ya 1000,000/=Tsh kwa wale waliofeli mtihani wa chuo (UE) ili awatoe wakati wa probation,wakagoma kumpatia hiyo kitita na hatimate wakaingia kufanya hiya prob bila kutoa chochote na ndipo jamaa alipoleta ngoma haikutembea na maanisha mtihani ulikuwa mgumu kama jiwe kwa kila mmoja.Hapo ndipo jamaa akaanza kuwapangia bei ili wafaulu mtihani huo na garama ya tozo inategemea utakavojieleza, wengine aliwachota 350,000/=,wako wa 250,000/= naaliye mlilia sana alitozwa 100,000/=.JE lecter kama huyu siyo jambazi? Kwanini asichuliwe hatua kali za kinidhamu maana ana dhalilisha chuo? je nyie mnashaurije kuhusu kashfa hii nzito?

Mkuu ushahidi upo tena wa uhakika.
Mleta mada yuko sahihi,ila naona wasuaso wamemuijia juu ili kuficha madudu ya kachuo kao!
Nenda darasan watak, t...ia wana sua