Wadau kuna jamaa kaka yangu anamaliza TECU mwaka huu amepiga hiyo kozi, jana aliniuliza vipi kuhusu soko la ajira kwa kozi yake nikamwambia ngoja nilipeleke kwa wenyewe wadau wa elimu watafafanua zaidi. karibuni jaman, vp soko la ajira kwa hiyo kozi lipoje? au aandae tu mtaji ajiajiri
1. Ni SOCIOLOGY and not SOCIALOGY.
2. Nina waswas kidogo na ulichokiandika kama ni ukwel kwa7b hakuna mwanafunz anaejielewa akaulizia kuhusu ajira akiwa mwaka wa mwisho wa masomo na kama ni kweli basi kaka yako sio mfano wa kuigwa..
3. Ushindani wa ajira ni mgumu kidogo unaposoma course hyo lakini kwa baadhi ya vyuo (mf. UDSM) ukisoma Sociology kuna course nne ndan ya sociology (Industry, policy, medical & Community dvpnt) na kila mwanafunz ataspecialize coz moja anayoitaka asome. kwa m2 anayesoma Industry ajira lazima!
Wadau kuna jamaa kaka yangu anamaliza TECU mwaka huu amepiga hiyo kozi, jana aliniuliza vipi kuhusu soko la ajira kwa kozi yake nikamwambia ngoja nilipeleke kwa wenyewe wadau wa elimu watafafanua zaidi. karibuni jaman, vp soko la ajira kwa hiyo kozi lipoje? au aandae tu mtaji ajiajiri
Kaka kwa ujumla soko la ajira ni gumu, lakini inategemea zaidi na kichwa cha huyo nduguyo (kwa maana ya uwezo wake wa kujitambua, kuchambua mambo, kujiamini, kuweza kushawishi kwamba anaweza akatumia ujuzi alio upata TEKU, kufanikisha malengo ya taasisi nk.). Kwa hiyo ajira iko kichwani kwake.Wadau kuna jamaa kaka yangu anamaliza TECU mwaka huu amepiga hiyo kozi, jana aliniuliza vipi kuhusu soko la ajira kwa kozi yake nikamwambia ngoja nilipeleke kwa wenyewe wadau wa elimu watafafanua zaidi. karibuni jaman, vp soko la ajira kwa hiyo kozi lipoje? au aandae tu mtaji ajiajiri