chikoxalate
Member
- Apr 18, 2018
- 62
- 22
Nenda pharmacy wwNimechaguliwa kozi na ngazi mbili tofauti so nahitaji msaada wa ushauri kati ya BACHELOR OF INFORMATION TECHNOLOGY (NIT) na DIPLOMA IN PHARMACY (COTS MTWARA) wapi ni bora zaidi msaada nipe na reason ya ushauri wakuu ipi bora na kwanini?
Ulisoma Combi gani? Matokeo yako ni yapi?Nimechaguliwa kozi na ngazi mbili tofauti so nahitaji msaada wa ushauri kati ya BACHELOR OF INFORMATION TECHNOLOGY (NIT) na DIPLOMA IN PHARMACY (COTS MTWARA) wapi ni bora zaidi msaada nipe na reason ya ushauri wakuu ipi bora na kwanini?
HahahhahaUuuwiii Uuuuwwiiiii Weee Dogo
Nendaa pharmacy faster yaan usiulize tena kimbia uwahi nafas Uuwiii Uuwiii
Nenda Nenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uuuwiii Uuuuwwiiiii Weee Dogo
Nendaa pharmacy faster yaan usiulize tena kimbia uwahi nafas Uuwiii Uuwiii
Nenda Nenda
Hahahaha asante kijanaUuuwiii Uuuuwwiiiii Weee Dogo
Nendaa pharmacy faster yaan usiulize tena kimbia uwahi nafas Uuwiii Uuwiii
Nenda Nenda
Sawa kiongoziKafanye diploma ya pharmacy dogo inafaida kubw katk soko la kujiajiri na ajila
PCB div 2.12Ulisoma Combi gani? Matokeo yako ni yapi?
Kama ningekuwa mimi, ningeenda kusoma DIPLOMA IN PHARMACY kwa ajili ya kuangalia fursa za ajira.
Mbona unanicheka mzee baba?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona unanicheka jmn tatizo ni nnHahahhaha
Nimechaguliwa kozi na ngazi mbili tofauti so nahitaji msaada wa ushauri kati ya BACHELOR OF INFORMATION TECHNOLOGY (NIT) na DIPLOMA IN PHARMACY (COTS MTWARA) wapi ni bora zaidi msaada nipe na reason ya ushauri wakuu ipi bora na kwanini?
Sawa mkuuItakuwa haupo serious.. Bora Pharmacy cheti kabisa sio diploma mzee kuliko Hayo ma NIT sijui[emoji23][emoji23][emoji23] Kama huamini nenda ukimaliza degree njoo tuitukane serikali hapa kwa kukosa ajira...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] wee mzee...hahah...Itakuwa haupo serious.. Bora Pharmacy cheti kabisa sio diploma mzee kuliko Hayo ma NIT sijui[emoji23][emoji23][emoji23] Kama huamini nenda ukimaliza degree njoo tuitukane serikali hapa kwa kukosa ajira...
Hongera kwa huo ufaulu mzuri sana.PCB div 2.12