chikoxalate
Member
- Apr 18, 2018
- 62
- 22
Nimechaguliwa kozi na ngazi mbili tofauti so nahitaji msaada wa ushauri kati ya BACHELOR OF INFORMATION TECHNOLOGY (NIT) na DIPLOMA IN PHARMACY (COTS MTWARA) wapi ni bora zaidi msaada nipe na reason ya ushauri wakuu ipi bora na kwanini?

wee mzee...hahah...