Degree program ya International Relations and diplomacy

wanjera

Member
Jul 1, 2016
72
25
Habarini wanajamvi
Naomba msaada kujua mchakato mzima wa program hii. Kuanzia ugumu/urahisi wake na je ajira zake baada ya kumaliza masomo na upatikanaji wake. Natanguliza shukraan
 
Kwenye ugum na urahis wake hapo cfaham.
Ila kwenye swala la ajira pagum kama hauna connection.
Kama n poor peasant kama mm ckushaur kusoma iyo course.
La sivyo jiandae maisha ya kujisifu mtaan kua umefka chuo kikuu lakn huna ajira
 
Duh! Asante mkuu
 
Back
Top Bottom