Habari bandugu wana jamvi wa JF
Mimi ni kijana 22, ninategemea soon kua first year kwa Course ya Transport & logistics au IT. Lakini ndoto yangu kubwa ilikua ni kua pharmacist Je ninaweza kusoma degree na Diploma kwa wakati mmoja....msaada wa ushauri na mawazo yenu ndugu zang...
Ahsante