AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,426
- 1,401
kwa maoni yangu...baf,
ukisoma business accounting and finance mzumbe utapata wigo mpana sana kwenye accounting and finance,
kwa ushuhuda tu,nimefanya cpa na watu wa bcom waliochukua mchepuo wa account udsm hawakua vizuri sana kwenye finance kwa sababu kwao accounts n finance hutengwa nadhani second year.
Ndugu mtoa mada,ukizungumzia degree ya biashara ili uchague yategemeana na ni nini malengo yako,kama unataka kua mhasibu na kuja kufanya macpa au acca ushauri wangu ni baf ikifuatiwa na bcom, ila kama malengo ni kusoma tu biashara na huna nia ya kuja kua na proffession ya uhasibu mbeleni kwa mtazamo wangu hizo bba zitakufaa
naomba kuishia hapo kwani hizo zingine mbili sizifaham..beca na bbf kwa kweli sijawahi zisikia,hivyo ni busara nisiseme jambo nisilo lijua.
Ahsante.
angalia soko linataka nn i.e demand vs supply!!!!!!!!Samahani wakuu eti ni degree ipi bora kwenye biashara
BBA
BCOM
BAF
BECA
BBF na nyinginezo msaada wenu naomba kuelimishwa
BBA ya general ndo iko vizuriXo BBA ya general ipo juu
Upo sahii kabisa mkuu!Best 20 college degrees for 2013.
1.petroleum engineering
2.computer engineering
3.Aeronatics engineering
4.medicine
5.electrical engineering
6.civil engineering
7.computer science
8.Economics.
9.material science.
10.Actuarial science.
11.chemical enginering.
12.Finance
13.physics
14.mathematics science.
15.Accounting
16.Business administration.
17.Llb
18.marketing mgt
19.Quantity surveying
20.Archtecture
source:US magazine.
Best 20 college degrees for 2013.
1.petroleum engineering
2.computer engineering
3.Aeronatics engineering
4.medicine
5.electrical engineering
6.civil engineering
7.computer science
8.Economics.
9.material science.
10.Actuarial science.
11.chemical enginering.
12.Finance
13.physics
14.mathematics science.
15.Accounting
16.Business administration.
17.Llb
18.marketing mgt
19.Quantity surveying
20.Archtecture
source:US magazine.
best 20 college degrees for 2013.
1.petroleum engineering
2.computer engineering
3.aeronatics engineering
4.medicine
5.electrical engineering
6.civil engineering
7.computer science
8.economics.
9.material science.
10.actuarial science.
11.chemical enginering.
12.finance
13.physics
14.mathematics science.
15.accounting
16.business administration.
17.llb
18.marketing mgt
19.quantity surveying
20.archtecture
source:us magazine.
kama mtu kozi yako haipo katika hizi wewe umepotea
mbona yangu haipo au inaingia hapo kwenye economics?
hahaha mkuu eshy , inaingia kwenye economics ya kwako unabahati
eh! haya bwana! ila yako mbona sijaiona hapo wangu?
TEH TEH CLASS MATE Wangu wa standard 1&2 ipo yangu nimeiona