G_Carson
Member
- Dec 23, 2017
- 15
- 13
HIVI UNAWEZA UKIWA UNASOMA DEGREE YA KWANZA,BAADA YA KUMALIZA MWAKA WA PILI UKAAMUA KUCHUKUA MATOKEO YA MIAKA MIWILI,UKAENDA KUMALIZIA MWAKA WA TATU KATIKA CHUO KINGINE??
Kama inawezekana vigezo ni vipi??
Na ni vyuo gani vinapokea mwanafunzi wa aina hiyo??
Msaada tafadhalii????
Kama inawezekana vigezo ni vipi??
Na ni vyuo gani vinapokea mwanafunzi wa aina hiyo??
Msaada tafadhalii????