Define your love life in one word

Wengine mmetoa neno moja yenye masikitiko, huzuni na fedhea.
Kwan mmelazimishwa kuendelea na hayo mapenz?????
 
Uzi huu wengi ni wanawake ndo wamechangia unajua kwa nini?

wanawake na Mapenzi nichanda na pete, ukweka mapenzi tu ke haooooo! tamaaa yao juu yetu, mtakoma!
 
Bado mpo nae hadi leo
 
Naona hadi unacheka sawa bwana mkuuπŸ˜€πŸ˜€
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…. Huu uzi nimeshangaa wachangiaji wengi ni ke ndo maana nimecheka nilidhani mwenye shida ni wanaume tu kumbe hadi nyie mmo.

Ila mnafichaga hisia sana.
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…. Huu uzi nimeshangaa wachangiaji wengi ni ke ndo maana nimecheka nilidhani mwenye shida ni wanaume tu kumbe hadi nyie mmo.

Ila mnafichaga hisia sana.
πŸ˜€ ke sisi ni wawazi sana mkuu, nyie ndiyo huwa mnakufa kiume, mimi huwa sielewi nakwama wapi ila hiyo sector nakula za uso sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ™Œ
 
πŸ˜€ ke sisi ni wawazi sana mkuu, nyie ndiyo huwa mnakufa kiume, mimi huwa sielewi nakwama wapi ila hiyo sector nakula za uso sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ™Œ
Duuh labda hujampata anaekufaa.

Ila Sikuizi kupata reliable life partner ni taabu kweli kweli rafiki.

Vipi una sali usione wanawake wanaoenda kusali kwa watumishi sio bure.

Wanaume tunatafutwa sana tu. πŸ˜‘πŸ˜‘ Cheza karata zako vizuri 😎😎
 
Duh nikisikia wanaume kutafutwa ndiyo nachoka kabisa, ahsante kwa ushauri lkn
 
So sad [emoji19] mwache aende kwa mpenzi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…