Defending tricks

You understand it better, you should explain it more to us
 
Niliiona hii ktk Discovery channel, aina hii ya samaki hutumia mbinu ya kujikusanya ktk umbo la samaki mkubwa ili kujihami na adui kama papa na kadhalika. Papa huona kama ni papa mwenzie au samaki mwingine mkubwa anayeweza kumdhuru baada ya hatari kupita hutawanyika na wanaendelea na maisha ya kawaida- MWACHENI MUNGU ABAKI KUWA MUNGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…