Hii ni issue ya Card
Hii ni issue ya card wala sio issue ya setilite...... kwa card zote zilizo sajiriwa tanzania zinanyimwa access ya local channel za tz, kama unataka kuona local channel basi chukua smartcard ya azam tv iliyo sajiriwa nchi, tatizo itakuja pale unapotaka kulipia kifurushi.... labda ununue kifurushi cha nwaka mzima alafu ndio uje nacho huku bongo.
.nawasilisha.