Mkuu sikiliza, hakuna anayependa kuamuliwa mambo na wageni, lakini sisi miafrika ni mijinga ya kutupwa tumejaa tamaa za madaraka na wala hatuna uchungu na nchi zetu, Acha Barack aingilie kati, wewe anachokifanya Museven unakifurahia?
Kumwandaa mwanae Muhoozi kumrithi?, kwani Uganda ni mali ya ukoo?, bora ingekuwa kumuandaa tu, lakini kuplot mpango wa mauaji kwa yeyote anayepinga unaona ni sawa?
Juu ya Qaddaf, miafrika ilikuwa imekaa tu haijui cha kufanya mamia ya watu wanakufa kila siku, wenye akili zao wakajua cha kufanya.
Wewe unataka waafrika waachiwe waamue, waamue nini wakati hawana uwezo wa kuamua chochote?, Afrika ya kati watu wanauawa kuna nchi ya Afrika imeamua kitu?, naomba niishie hapa mifano ni mingi mno.