Ningependa kujibu swali mtu alie ajiliwa ni sawa na muwa utamu ukiisha unatupa maganda so hata kama umeajiliwa unalipwa kwa mwezi m6 plus changamoto inakuja pale ukisha acha kazi huto weza kufanya biashara coz biashara ina faida ndogo na inataka mtu mvumilivu coz mfanya biashara yuko radhi kukaaa miezi6 akasubiri Tsh200,000 kwa miezi 6 wakati kipindi umeajiliwa ulikua kwa mwezi una uwakika Tsh milion 6 so hapo ndo utaona umuhimu wa kujiajiri mapema kuliko kuajiriwa alafu uje ujiajiri ukisha acha kazi hapo lazima ufilisike.so ni vema kujiajiri mapema kuliko kuajiriwa.