Deaths in South Africa as mobs target foreigners

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,333
Sasa hivi raia wa kigeni kutoka Afrika, wanavamiwa na kuuliwa na wazawa.

Nipo naangalia video hapa wageni wanachomwa moto na wazawa.

Kama kuna watanzania ondokeni Mara moja, mrudi Tanzania.

Mauaji yanaungwa mkono na chief wa kizulu na mtoto wa Zuma.

Source:
Deaths in South Africa as mobs target foreigners
 
Kurudi nyumbani si suluhisho pekee.
 
South sio salama hata kidogo
 
Nao wageni wakati mwingine wanaingia na mengi. Ukiona utitiri wa wasomali na matendo yao nawe huwezi kuvumilia. Wale hawana uvumilivu kama sisi. Wasomali wakiwa kule eti nao wanawabagua weusi Wazulu. Haiwezekani wakavumilia. Sisi tu ndo tunaweza kufanyiwa hivyo kama wanavyotufanyia Wahindi
 

Nawachukia wahindi wanatudharau sana, chama chochote kikija na sera nzuri ya kuwaadabisha hawa watu nitakipigia kampeni.
 
Wale jamaa wana roho katili hakuna mfano. Kwanza wao kwa wao tu ni balaa, wanauwana sana. Pia wanabaka watoto wao si mchezo.

Nafikiri baada ya India, SA inaweza fuata kwa ubakaji wa watoto wadogo hasa kule kwenye miji yao ijulikanayo kama township!
 
Nawachukia wahindi wanatudharau sana, chama chochote kikija na sera nzuri ya kuwaadabisha hawa watu nitakipigia kampeni.

Kikianzishwa chama chenye sera ya kuwabadilisha watu wenye roho za kikatili na ubaguzi kama wewe nitakipigia kampeni....huwezi kuhukumu jumla jumla kwa kuwa ulitendwa na mmoja anayefanana na kundi fulani...laana ya ubaguzi haitakuacha salama hata kidogo!
 
Tatizo wanavuta sana bangi....wajifunze toka kwa wageni wapige hatua
 
Kuna video inaonyesha Wageni wakichomwa moto Tyta naomba unisaidie kuweka,mi nalala sasa
 
Last edited by a moderator:
Juzi yenyewe Mwamvita Makamba gari yake ilipigwa risasi kwa nyuma..
 
Hawa wamevurugwa, nilidhani hizi fujo wangewafanyia makaburu ambao wamewaburuza mamia ya miaka.
Nimewadharau sana hawa jamaa.

kama makaburu wameandaa option na mikakati ya kukimbia ikitokea wamevamia na hawa jamaa. hadi jinsi watakavyoondoka makundi makundi.

Serikali iingilie kati kupitia ubarozi wetu na kutafuta jinsi ya kusaidia
 
Hivi hawa Wasouth wamesahau kuna ndugu zao nchi zingine Afrika. Nimefuata mitandao zao kule Facebook wanaongea uharo aisei.
 
Hivi hawa Wasouth wamesahau kuna ndugu zao nchi zingine Afrika. Nimefuata mitandao zao kule Facebook wanaongea uharo aisei.

Tatizo la wasouth wamesahau kuwa ni waafrika ndio waliowasadia wakati wakiwa na matatizo na wazungu, leo wanawakumbatia wazungu wanapiga wale waliowasaidia.
"Shukrani Ya Punda Ni Mateke"
​
 
Jozi na durban Kuna unyama huo! Wazulu wapumbavu sana
 
Wanadai wageni wengi sana! Alafu wakhosa walipiga kisu mnaija vurugu zikaanza hapo
durban fujo zmeanza leo asubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…