Death by a thousand cuts

YOU LIVE IN DELUSION,it seems you have or cant have what is known as ABSTACT REASON, too sorry for you,or maybe ccm sent you to throw such useless allegations here
 
Mkapa na hasira zake akisoma hii post nakufanikiwa kuconnect the dots bila shaka atakula sahani moja na wewe. Hahaha
 
Wanachokosea vyama vingi hasa vya upinzani ni kuamini kuwa hawapaswi kukosolewa.Kila anaekosoa anaonekana analipwa na CCM.Bado hawaja chelewa wanapaswa waombe msamaha na wajsahihishe.Walichokifanya 2015 malipo yake ni sasa.Ukiitafakari kauli ya Dk.Slaa ambae alibatizwa jna la Dk mihogo,Utajua aliona mbali.Tatzo watanzania wengi pia hatuamin katika kukosolewa.Bado sijaamin kama CHADEMA inaenda kufa maana bado sijaona mbadala wake.
 

They get so defensive when criticized!
 
Ng'wana Kilasa hii lugha ni nzuri sana kuitumia maana inapunguza matusi ya kina sisi tusioielewa ipasavyo. Next time tumia ile ya kwetu Mwarugesha
 
Mkuu

Wewe ni muandishi mzuri wa kiswahili na huwa nafurahia kiswahili chako.....

Ungeleta bandiko hili kwa kiswahili ingepeza zaidi...na ingewapa watu wigo mpana wa kuchangia na kuchambua!!!...
Wenye matusi wangetuharibia hali ya hewa bora hii lugha kusudi wenye akili na mawazo mazuri wachangie siyo wenye matusi
 
The good answer is feel sorry for yourself as Jesus told the women of Jerusalem. Me say
Mkuu wewe ni ME au KE? Maana kwa shobo hizo kila mtu una mquote inaonekana unashoboka sana kiduanzi. Kama sio unataka kuolewa na mleta mda ili ukaishi nae USA mkabebe box basi utakua unataka mume hapa hapa bongoland akuhudumie mahitaji yote ya mwanamke.

Acha shobo dundo zakiwaki.
 
Ndiyo maana aliandika kwa lugha ngumu kwako sasa umetoka kwenye box maana tumeanza kuongea lugha uijuayo.... Aibu sana kwa watu wazima kuitumia mitandao ya jamii kutukana. Wacha Magu awafundishe adabu maana mlikosa adabu. USA niende mara ngapi wakati ndiyo kwetu umeacha kumalizia USA River
 
Kinachoshangaza sana ni kwamba wanaccm wengi ndiyo wanaoumia zaidi na kufa kwa chadema badala ya kushangilia sasa watakuwa wanashinda kirahisi tu au mnataka muendelee kuwakata mapanga wenzenu kwenye uchaguzi ?
 
Mkapa na hasira zake akisoma hii post nakufanikiwa kuconnect the dots bila shaka atakula sahani moja na wewe. Hahaha

Hahahaaa.

Lazima amwambie Jiwe anipe ulaji kunifunga mdomo haraka sana kwa sababu akimwaga mboga mimi namwaga ugali kwa nyeti za ndani kabisaaa kuliko zilizopatikana kwenye Panama Papers.
 
A new CHADEMA will soon arise. It will be strong and fierce opposition and the ultimate replacement of CCM. Every one will marvel at its greatness.
 
Hivi TLP.NCCR. je vimewahi fikia mafanikio ya Chadema?

Vyama hivyo vilikufa kwa kuchokwa na wananchi na viongozi wake kuwa pandikizi za ccm.
Kinachofanyika sasa ni manunuzi ya wabunge ambayo wananchi wamejua.ni tangazo lisilouza tena.

Nakuambia dhahabu lazima ipite motono ili iongeze thamani.
Chadema itaibuka kidedea
 
Hahahaaa.

Lazima amwambie Jiwe anipe ulaji kunifunga mdomo haraka sana kwa sababu akimwaga mboga mimi namwaga ugali kwa nyeti za ndani kabisaaa kuliko zilizopatikana kwenye Panama Papers.
Hahhaha... Mzee anajua kupanga hoja hata kama ni uwongo au umesahau kilichomtokea mwaandishi wa BBC Hard talk
 
This is nonsense. You're wishes will never experienced!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…