el nino JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,712 Reaction score 5,065 Jun 26, 2015 #21 Jambazi said: Acha fix bado tupo nae? nani kasema bdo tupo nae? Click to expand... kazi zake
G glycerine JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 422 Reaction score 136 Jun 26, 2015 #22 Niliumizwa sana na kifo chake hasa baada ya kugundua kumbe ni legend mkubwa kuwah kutokea
x - mas JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 953 Reaction score 669 Jun 26, 2015 #23 el nino said: kazi zake Click to expand... bora umenisaidia kumuelewesha ndugu yetu huyo
el nino JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,712 Reaction score 5,065 Jun 26, 2015 #24 glycerine said: Niliumizwa sana na kifo chake hasa baada ya kugundua kumbe ni legend mkubwa kuwah kutokea Click to expand... The best ever
glycerine said: Niliumizwa sana na kifo chake hasa baada ya kugundua kumbe ni legend mkubwa kuwah kutokea Click to expand... The best ever
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,792 Jun 26, 2015 #25 el nino said: The best ever Click to expand... Video zake mbona hazichezwi sana kwenye tv na radio mara moja moja sana tena mwaka unaweza kupita sijaona video zake kwenye tv
el nino said: The best ever Click to expand... Video zake mbona hazichezwi sana kwenye tv na radio mara moja moja sana tena mwaka unaweza kupita sijaona video zake kwenye tv
el nino JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,712 Reaction score 5,065 Jun 26, 2015 #26 Jambazi said: Video zake mbona hazichezwi sana kwenye tv na radio mara moja moja sana tena mwaka unaweza kupita sijaona video zake kwenye tv Click to expand... Hivi sasa lazima wazipe priority video mpya... Video za enz za Michael huwa unaweza kuziona katika vipindi maalum vya Muziki wa zaman
Jambazi said: Video zake mbona hazichezwi sana kwenye tv na radio mara moja moja sana tena mwaka unaweza kupita sijaona video zake kwenye tv Click to expand... Hivi sasa lazima wazipe priority video mpya... Video za enz za Michael huwa unaweza kuziona katika vipindi maalum vya Muziki wa zaman