Jumanne Mkota
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,994
- 1,770
Wapendwa ndugu zangu wa UKAWA,
Sasa hivi tumefanikiwa kumpa mwenyekiti wa magamba kazi nzito ya kuamua kuhusu vibaka wavaa suti wa ESCROW,kazi ambayo itawachukua muda kuamua ingawa tumeibiwa. Kazi ya kufanya sasa ni kuhakikisha walipa kodi wanaminimize kiwango cha wizi kinachofanywa na hao vibaka wa CCM model mpya.
Dear wana UKAWA ,Tayari tuna makubaliano ya kushirikiana katika chaguzi mbalimbali! Siwaoni majukwaani NCCR Mageuzi na NLD na sasa tuna count down kufikia tarehe ya kupiga kura!
ESCROW imefika ilipofikia, Kafulila,Mbatia,Machali na wengine kutoka NCCR na NLD tokeni ndani tukapambane, mim ni mwanachadema kindakindaki ninayeamini katika ushirika wa UKAWA lkn sifurahi kuona vyama vya UKAWA vinavyotoka ni viwili.
OMBI; Nadhani kwenye makubaliano ya UKAWA sio kuachiana tu maeneo ya kugombea bali pia kusaidiana medani ili mwanaukawa ashinde sasa kule lindi na Mtwara naona CHADEMA wamewaachia CUF tu kwa nini makamanda wa CHADEMA waliopo huko wasipande kwenye majukwaa ya CUF na campeign za door to door kuwanadi CUF? Au strong hold za NCCR Mageuzi kuna pia wingi wa CHADEMA kwanin NCCR Mageuzi wasiongoze mapambano huku makamanda wa CHADEMA wakinadi wagombea wa NCCR Mageuzi door to door?
Naomba siku moja nione dr. Slaa au Mnyika au Lema nimuone Lindi na Mtwara akinadi ngangari za CUF huku Maalim Seif ,Magreth Sakaya,Mtatiro au Jusa wakiwa Mwanga,Hedaru,Iramba na kwingineko wakinadi makamanda hivyo hivyo kwa NCCR Mageuzi na NLD.
Naamini wazo hili litaleta tija na kumtimulia mbali jambazi CCM.
Nawasilisha.