dear mama,
Mimi ni kijana mdogo ambaye nimesoma lakini sina ajira mpaka sasa.
Nimefanikiwa kuandika project proposal ambayo inanilazimu kupata USD 40000 ili kuikamilisha.
Tafadhali mama naomba msaada wako.
Yours faithfully,
Msakatonge.
Mwenye serious address ya mama Tibaijuka (Ama Rugemarila wa VIP Engineering naomba anisaidie.)
Mama Tibaijuka is down but she is not out. This mama is a fighter. Wewe ngoja utaona 2015 kwenye serikali ya Lowasa, mama Tibaijuka atakuwa waziri mkuu. Wait and see.
Mama Tibaijuka is down but she is not out. This mama is a fighter. Wewe ngoja utaona 2015 kwenye serikali ya Lowasa, mama Tibaijuka atakuwa waziri mkuu. Wait and see.