Dear tanzania

platnum fubu

Member
Joined
Apr 17, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Salamu kwako nchi yangu mpendwa Tanzania Lengo la kuandika barua hii ni kukupa pole na machafuko yatakayo tokea kabla ya muafaka wa serika tatu au mbili ktk katiba yako takatifu inayo jadiliwa na watu wenye uchu wa madaraka wenye kujali matumbo yao binafsi na si ya watu wako,pia pole kuaribiwa na kuibiwa wanyama wako wenye kukufanya uwe mrembo na wa kupendeza ingawa wezi wanajulikana ila ndo wenye madalaka ya juu. Nina mengi ya kukwambia ila naomba uyatafakali hayo kwanza Ni wako PLATNUM FUBU "bubu anae ongea"
 
Maskini Tanzania anavyotendwa na mafisadi, hadi anatia huruma,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…