Consigliere Platinum Member Joined Sep 9, 2010 Posts 12,689 Reaction score 26,568 Jun 5, 2025 #1 Epuka haya mambo matatu ambayo ni machukizo masikioni na mioyoni mwa wasichana wa kisasa; 1. DNA test 2. Virginity 3. Accountability Usitafute ugomvi usio na ulazima. Ni mimi baba yako. Consigiere
Epuka haya mambo matatu ambayo ni machukizo masikioni na mioyoni mwa wasichana wa kisasa; 1. DNA test 2. Virginity 3. Accountability Usitafute ugomvi usio na ulazima. Ni mimi baba yako. Consigiere
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 46,558 Reaction score 128,162 Jun 5, 2025 #3 Yani yaepukwe kivip , fafanua kidogo mkuu
Consigliere Platinum Member Joined Sep 9, 2010 Posts 12,689 Reaction score 26,568 Jun 5, 2025 Thread starter #4 min -me said: Yani yaepukwe kivip , fafanua kidogo mkuu Click to expand... Aepuke either kuyatarajia, au kuyaongelea au kushari. Wakisikia huwa hawapendezwi nayo na sisi tuna jukumu la kuwafanya wawe na furaha, siyo kuwakwaza
min -me said: Yani yaepukwe kivip , fafanua kidogo mkuu Click to expand... Aepuke either kuyatarajia, au kuyaongelea au kushari. Wakisikia huwa hawapendezwi nayo na sisi tuna jukumu la kuwafanya wawe na furaha, siyo kuwakwaza