Dear Nyerere!

Dear Nyerere!

upendodaima

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Posts
4,086
Reaction score
4,521
Dear Nyerere uliacha wababu wanalea wajukuu sahv wababu wanaoa wajukuu.

Dear nyerere interview cku hizi wa mwisho ndo anapata kazi.

Dear Nyerere uliacha simba akiwa mkali kuliko wanyama wote lakini saizi binadamu anaongoza kwa ukali, roho mbaya, asiye na huruma, muuaji, asiyejua nini maana ya upendo.

Dear Nyerere ulikemea ukabila lakini saiz wanajikusanya wa kigoma tu kuimba.

Dear nyerere sherehe ilikuwa ni moja tu ya uhuru saivi ata cku ya besdei ya wema hakuna kazi.

Dear nyeree ulitusaidia kupunguza gharama za maisha kwa kuchangia ujenzi wa shule,hospitali,barabara,na vitu vingine vya maendeleo lkn sasa michango mingi ni harusi na misiba.

Dear nyerere uliacha ng'ombe mbuzi kondoo wanachunwa ngozi baada ya kuchinjwa lkn siku hz hd binadamu anachunwa ngozi.....

Dear nyerere ulituachia kusaidia majeruhi ktk ajali lkn sasa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ndo habari ya mjini.

M.A.P Nyerere.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Dear nyerere ulituacha watu wanafanya mapenzi kwa style moja tu... kifo cha mende.. lakini siku hizi ziko nyingi hadi wanafanya kama mambwa...


Dear Nyerere ulituacha wanagegedana kwa njia ya mkojo tu lakini sasa hivi wanafanya hadi kwa njia wa haja kubwa

Dear Nyerere ulituacha ndoa ni za wanawake kwa wanaume lakini sasa hivi wanawake kwa wanawake au mwanaume anamwoa mwanaume mwenzie...
 
Dear Mwl !
Ulituacha tunagegedana salala kwa salala!
Leo twagegedana salala kwa nailoni !

Dear Mwl !
Ulituachia nchi ya Jamhuri ya Muungano wa Zanzibar & Tanganyika !
Leo Nchi imekua Muungano wa Tanganyika/Zanzibar na Zimbabwe! (hili inshaallah Mulugo akija fika huko atakufafanulia vizuri! )
 
Dear Nyerere ulituacha na division 0 mpaka 4 ila sasa kuna division hadi 5
Dear Nyerere ulituachia muungano wa Tanganyika na Zanzibar lakini sasa upo wa Tanganyika na Zimbabwe.
Dear Nyerere Ulituacha binadamu tunapanda ndege lakini sasa Twiga na Simba ndio wanapanda ndege.
Dear Nyerere kipindi chako hadi wauza maandazi waliweza kujenga nyumba lakini sasa hadi wenye degree hawana uwezo wa kupanga hata nyumba nzima.
 
Dear Nyerere;
ulituacha tuna tv moja tu RTD, lkin sasa tuna Efm, mbaya zaidi tuna cloud fm.
ulituacha tuna watangazaji wenye sifa lakini sasa hata Kibonde ni Mtangazaji.
 
Dear Nyerere nchi yako sasa hivi inajinasibu kuwa na sera ya ujamaa na kujitegemea lakini ukweli ni kwamba tumekuwa ombaomba wa kutupwa.

Dear Nyerere mjukuu wako nimeambiwa umewahi tamka kuwa madini hayaozi hvyo hamna haja ya kukurupuka kuyachimba lakin sasa hv yanachimbwa utafikiri kesho ni kiama.

Dear Nyerer siku hizi wazungu na wafanyabiashara wengine toka nchi za magharibi wanakuja na laptop na briefcase tu,siku wakiondoka ni matajiri wa kutupwa.

Dear Nyerere,Mungu Akuweke Pema.
 
Dear Teacher,Edward anautaka uraisi kwa udi na uvumba.

Dear Teacher,hv uliposema Mrisho umri wake hauruhusu kuwa raisi ulimaanisha nini haswa?
Nauliza kwa sababu ndo raisi wetu sasa hv na kiukweli mambo ni hovyo kuliko hovyo zote zilizo tangulia.

R.I.P Teacher.
 
Dear Nyerere kizazi cha sasa ndo kama uonavyo kwenye picha niliyo ambatanisha.
Kimejaa wavivu wa kusoma na kujifunza kiasi cha kutojua lolote kuhusu historia ya nchi yao.

attachment.php
 

Attachments

  • 1413310297029.jpg
    1413310297029.jpg
    77.2 KB · Views: 326
Dear nyerere ulituacha watu wanafanya mapenzi kwa style moja tu... kifo cha mende.. lakini siku hizi ziko nyingi hadi wanafanya kama mambwa...


Dear Nyerere ulituacha wanagegedana kwa njia ya mkojo tu lakini sasa hivi wanafanya hadi kwa njia wa haja kubwa

Dear Nyerere ulituacha ndoa ni za wanawake kwa wanaume lakini sasa hivi wanawake kwa wanawake au mwanaume anamwoa mwanaume mwenzie...
hahahaha duh ila kweli enh
 
dear mwalim ulituacha polisi wakiwa wanaogopwa, ivi sasa hawaeshmiwi ndo wanazalilishwa mitandaon,
ulituacha tukiwa na vibanda maalum vya kupigia cmu, ivi sasa kila mtu hata mtoto wa dalasa la pili ana simu yake,
hukutaka hata mkeo ashke nyazifa serikalin, iv sasa viongoz wana warisisha watoto wao madaraka.
hukujirimbikizia mali, ivi sasa akauti za viongoz uliowaacha zikichekiwa salio zina load masaa matano kwa maana salio lililopo humo hata mashne inashndwa kuhesabu
 
ulituacha na acounti za benki tu leo vijaana hawana tena za benki wala hawana shobo nazo wanakomaa na acount za fb...insta...wsp...
 
Dear Nyerere uliacha wababu wanalea
wajukuu sahv wababu wanaoa wajukuu
.....
Dear nyerere interview cku hizi wa
mwisho ndo anapata kazi.....

Dear Nyerere uliacha simba akiwa mkali
kuliko wanyama wote lakini saizi
binadamu anaongoza kwa ukali, roho
mbaya, asiye na huruma, muuaji, asiyejua
nini maana ya upendo....

Dear Nyerere ulikemea ukabila lakini saiz
wanajikusanya wa kigoma tu kuimba....

Dear nyerere sherehe ilikuwa ni moja tu
ya uhuru saivi ata cku ya besdei ya wema
hakuna kazi....

Dear nyeree ulitusaidia kupunguza
gharama za maisha kwa kuchangia ujenzi
wa shule,hospitali,barabara,na vitu
vingine vya maendeleo lkn sasa michango
mingi ni harusi na misiba....

Dear nyerere uliacha ng'ombe mbuzi
kondoo wanachunwa ngozi baada ya
kuchinjwa lkn siku hz hd binadamu
anachunwa ngozi.....

Dear nyerere ulituachia kusaidia majeruhi
ktk ajali lkn sasa kupiga picha na kupost
kwenye mitandao ndo habari ya mjini

Dear nyerere uliacha wanawake wakikojoa
huku wamechuchumaa ila siku hzi n a
waoo wanasimama
 
dear nyerere uliacha wake zetu wakijifunza kupika pilau, ila siku hizi wanajifunza kupika majungu, na kujiunga na mtandao wa TIGO pamoja na kuepuka njia kuu huku wakishindana kupost picha za naniii facebook badala ya kushindana kwa mapishi
 
dear mwl ulimtandika viboko samweli sita kwa utovu wa nidhamu lkn leo ndo kiranja wa katiba mpya!

dear mwl. waliokutanguliza ili wapate urais na uwaziri mkuu sasa hawaelewani tena! na karibu watakufata huko uliko!

R.I.P the father of the nation
 
Dear Mwl !
Ulituacha tunagegedana salala kwa salala!
Leo twagegedana salala kwa nailoni !

Dear Mwl !
Ulituachia nchi ya Jamhuri ya Muungano wa Zanzibar & Tanganyika !
Leo Nchi imekua Muungano wa Tanganyika/Zanzibar na Zimbabwe! (hili inshaallah Mulugo akija fika huko atakufafanulia vizuri!
)

Nimechekaje kwa sauti hapo kwenye bold....Nyerere aendelee kuwa huko alipo tu, akirudi hapa nahisi atazimia na hatainuka kwa atakachokiona
 
Baba wa Taifa letu (RIP) ulituachia madini ili baadae tuje tuyatumia sasa hivi wanatumia wenye macho, ulisisitiza watoto wa taifa hili wasome na uliwapatia kazi walipomaliza masomo, sasa hivi wako mitaani hawana kazi, uliacha mtu akifika miaka hamsini anastaafu kwa hiari, hamsini na tano kwa lazima siku hizi si hivyo tena ni sitini akifa ndio tunaambiwa ukweli kwamba alikuwa na sitini na nane. watoto wao wamejaa maofisini wetu wanasubiri wajanja waanzishe maandamano na wao washiriki, yale mashirika uliyosema yasibinafsishwe ulipokufa tu yakabinafsishwa yote. mfano Tanganyika Packers imekuwa gofu na hii imesababisha ugomvi wa wafugaji na wakulima maana wakati ule ng'ombe ziliuzwa huko, sasa hakuna pakuzipeleka, Uliacha TIPER sasa hivi ni sehemu ya kuhifadhi mafuta ya wajanja, kiwanda cha lami kimekufa kikiwa bado kipya kabisa na hakuna anayekiongelea tena. Uliahidi utatuombea, tuombee huu mzimu wa UMIMI utoweka katika taifa hili.
 
Back
Top Bottom