Dear Miss Leejay49

Umeshapoteza mkuu. Ngoja nimpe dili la kutengeneza madirisha ya Aluminium 24
Miss Leejay49 ona hater huyu, Mimi nilikuwa nakupa compliments zangu kutokana na ufahamu wangu lakini watu wamehukumu kwa namna yao. Be blessed wherever you are.
 
Huna akili
 
Kumbe watu wanatongoza serious humu jamvini! Vipi ulipewa?
 
Punguza ujinga na upuuzi wako dogo hapo juu uliniambia sina akili bado unani mention. Usijipe umuhimu sana kwenye maisha ya mtu. Uwe na kiasi aisee
Pole dogo ukikataliwa kubali tu

Leejay49 🀣🀣🀣 nakusalimu πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…