Dear ladies bitter truth you must swallow

Dear ladies bitter truth you must swallow

2,3,5 and 9 kwakweli vimenigusa ni kweli kabisa... Well said mtoa uzi
Mtoa uzi katimoa kama ilivyo huku uswazi kwetu.hspa wakubisha abishe tu kwa kuwa ni hiari yake lkn ni ukweli mtupu.
 
Mtoa uzi katimoa kama ilivyo huku uswazi kwetu.hspa wakubisha abishe tu kwa kuwa ni hiari yake lkn ni ukweli mtupu.
Wakati mwingine ubishi ni tabia..ila hapo kaguda ikulu
 
Umeongea ukweli mkuu. Ubarikiwe. Hata mimi hili huwa nashangaa kwanini wanawake wanashindwa kulielewa! Ukiwa mzuri kweli mtu atakutafuta lakini hawezi kukaa na wewe. Na ukitaka pesa atakupa ila baadae atasepa.

Hata wanaume wanataka mwanamke ambaye ni wa kujenga familia na siyo kuendekeza ubinafsi.
 
Hii imejibu maswali yote humu ndani ya wanawake kulalamika wanaume hawaaminiki. Unakae nae miaka 4 kama mchumba na anakuka kukuacha. Mara nyingi ni sababu hizo ulizozitaja.
 
Mi mgeni humu hata sielewi wameandika madude gani!
Ngoja nipite kimya,!
 
nimemeza km nilivyoshauriwa japimo vichungu! imebidi sukari isiwe mbali japo kwa kulamba maana nayo bei yake mmmh km uzi huu tu!
Umefanya vema dawa chungu lakini inaponyesha kama sukari ghali tafuta hata pipi kifua kama sio pipi machungwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom