Support. Imekaa sawasawia kabisa. Ndio ukweli huu.Ni rahisi sana kama wanawake wataelwaa nini cha kufanya na kutofanya katika ndoa. Soma hapa.View attachment 1656776
Unajua hiki kiswangilish nikajua tusi zaidi nikajua to moja ni typing error na d mwisho ni tafsida.Mtotombad[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Una nongwa na Wasabato si bure!Na walivyo wengi ni upuuzi kubembeleza mtu akizingua unavuta kifaa kipya
Au wasabato mnasemaje?
Hivyo vyakula vinauzwa wapi Dada ...WeweTechnology imebadilisha mfumo mzima wa maisha. Siku hizi kuna vyakula vinauzwa kutoka kwenye barafu kwenda kwenye microwave. Unakuta size ya mtu mmoja wali ng’ombe, wali kuku, wali mchicha, chapati, pilau ect hakuna haja ya kupika kila siku.
Watu wana uwezo wa kufanyia kazi nyumbani. Hakuna ile desturi ya mwanaume awekewe maji ya kuoga awahi kazini.
Kitu muhimu ni kuolewa na kuoa mtu anaekupenda na kukusikiliza.
Hapana..Ni mtoto..MbadUnajua hiki kiswangilish nikajua tusi zaidi nikajua to moja ni typing error na d mwisho ni tafsida.
Kumbe ukimaanisha mtoto mbaya.Hapana..Ni mtoto..Mbad
Yes my dear A bad child...if my grammar is correct.Kumbe ukimaanisha mtoto mbaya.
Ndio najibu vip Sasa.Yes my dear A bad child...if my grammar is correct.