Dear Crush nakusabahi, u hali gani?

Dear Crush nakusabahi, u hali gani?

Mimi huwa na observe sana, Wala siambiwi. Kwahiyo ninajua ninachokiongea 😅😅
Sasa kama mimi mhusika sijakwambia na wewe umeanza kutunga story zako za kusadikika huoni kuwa huo ni umbea wa kiwango cha juu sana kaka😎
 
Nikisema nimtaje, lazima utaukimbia Uzi wako. Maana right now najua unahisi nakutania 😅😅
Sasa kama mimi sijakwambia kwamba ndie huyo kwanini wewe uanze kuhisi ndie?kwanini nikimbie uzi kaka?huyo utakaemtaja atakuwa ni wakwako mimi sitohusika ndugu mtanzania mwenazangu 🥳🥳
 
Back
Top Bottom