Mkuu ni kweli upo sahihi, waganda na wanyarwanda siwaoni humu. Nadhani sababu wao hawazungumzi sana kiswahili kama watanzania na wakenya, humu mijadala mingi inakuwa ya kiswahili. Utakuta kama huyu jamaa kaweka Thread kwa english lakini wengi huchangia kwa kiswahili hasa sisi watanzania.non-eac JF viewers mkuu? πππ more like non-eac JF users....ila wapo kweli non-eac members wengi? huwa siwaoni hata waganda na warwanda ama akina oga wa magharibi...karibuni kwa wale wachache waliopo humu JF...yule jamaa wa pretoria apate heshima yake lakini...jamaa kasema eti SA haiko africa na nchi za afrika zimelaaniwa...jamaa ana mambo yule!
Warwanda wapo humu sana tuMkuu ni kweli upo sahihi, waganda na wanyarwanda siwaoni humu. Nadhani sababu wao hawazungumzi sana kiswahili kama watanzania na wakenya, humu mijadala mingi inakuwa ya kiswahili. Utakuta kama huyu jamaa kaweka Thread kwa english lakini wengi huchangia kwa kiswahili hasa sisi watanzania.
Hahaa safi sana, jamaa yupo sahihi imagine ww ni msauzi alafu waswahili wamefurika nchini kwako kila sehemu w akidai wao na nyinyi ni wamoja[emoji3] ,kazi yao kubwa ikiwa kuuuza pipi na bange apo kitaa,alafu lugha zote za huko hawazijui wanaishia kupiga ze ze ze tu...aisee lazma watachezea kipigo tu..non-eac JF viewers mkuu? πππ more like non-eac JF users....ila wapo kweli non-eac members wengi? huwa siwaoni hata waganda na warwanda ama akina oga wa magharibi...karibuni kwa wale wachache waliomo humu JF...yule jamaa wa pretoria apate heshima yake lakini...jamaa kasema eti SA haiko africa na nchi za afrika zimelaaniwa...jamaa ana mambo yule!
Hata ww MOTOCHINI Mrundi mwenyewe Tunawaona hapaWarwanda wapo humu sana tu
tena kitambo
murutongore mchambawima1
Labda aje jMali akuletee orodha, hii
Forums sio kama za Kikenya
Jf inatoa uhuru kwa kila mtu
hakuna ubaguzi na Umimi
Ongezea piaOngezea Hapo Kiswahili ni Lugha ya 10 kati ya zaidi ya Lugha 6000 Kuzungumzwa na watu wengi Duniani.
Hivyo Anaye kidharau Kiswahili huyo ni Mpumbavu sana
Inevitably, we've been seeing many of you engaging in this forum just to get informed of what is happening in this eastern region of our Beautiful Continent.
This evidence suggests there are many jf viewers outside East Africa,
I'd like to welcome you all in this forum.
But just before joining, you need at least to know these things,
1.This is a SWAHILI dominated Forum,
You'll need to learn Kiswahili to enjoy this forum.
Kiswahili is the most popular language In East and Central Africa.
We will not write in English for you to understand, But you'll need to learn Swahili to understand us.
2. We've been taught to value things, Not pricetags,
So Respect first if you need to be respected.
3.Lastly, I welcome you all, Africa is Just one country,
Someone decided to draw boarders to separate us, let's keep teaching our kids to Unite each other and eventually reunite our Beautiful Continent.
I apologize for my poor English, Nimezaliwa Tanzania nikakuta Mama na Baba yangu wanazungumza Kihehe na Kiswahili, wakaniambia nijifunze Hii Lugha pia iliyokuja kwa Meli.
My God bless you all.
Truly,
Game Over.
Nimeona hii trend mkuu,non-eac JF viewers mkuu? πππ more like non-eac JF users....ila wapo kweli non-eac members wengi? huwa siwaoni hata waganda na warwanda ama akina oga wa magharibi...karibuni kwa wale wachache waliomo humu JF...yule jamaa wa pretoria apate heshima yake lakini...jamaa kasema eti SA haiko africa na nchi za afrika zimelaaniwa...jamaa ana mambo yule!
Hahaha Ongezea in AfricaOngezea pia
Kiswahili is the second (most-popular) spoken language after Arabic
Hapo unawachokoza wazee wa njaaPia ukumbukwe Tanzania ndio powerful economy in East and Central Africa by now
Your English is limited hata viewers lipo grammatical correct kwani aliowalenga hawatumii JF sababu ya language barrier so the forum is not useful for them.non-eac JF viewers mkuu? πππ more like non-eac JF users....ila wapo kweli non-eac members wengi? huwa siwaoni hata waganda na warwanda ama akina oga wa magharibi...karibuni kwa wale wachache waliomo humu JF...yule jamaa wa pretoria apate heshima yake lakini...jamaa kasema eti SA haiko africa na nchi za afrika zimelaaniwa...jamaa ana mambo yule!
Unatafuta zogoPia ukumbukwe Tanzania ndio powerful economy in East and Central Africa by now