Ni kweli waziri mkuu, wale wa mwanzo waliteuliwa na Lowassa.
Mpoki.
Norman Sigalla alikuwa na PhD ya utatanishi huko nyuma sijui kaacha kuitumia? naona wamesema ni Bw.Norman badala ya DR. kama alivyokuwa akisema.aliipata ndani ya miezi miwili PhD kila mtu alikuwa akishtuka.
kuna wakati Pindi Chana nae alikuwa anasema anasoma PhD Mzumbe wakati muda wote yuko Bungeni.