GE2025 DCP Misime: Tuwakemee wanaohamasisha uhalifu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Msemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime ametoa wito kwa Watanzania wote kutokutoa nafasi kwa watu wanaohamasisha uhalifu, migogoro au vurugu. Ametoa rai ya kutumia njia bora kama maridhiano, mazungumzo na uvumilivu katika kutatua tofauti.
 
Na wale wanaofanya Uhalifu je mbona hawazungumzii ..........!!?

Mbona hawazungumzii akina Mafwele ambao Victims wamemuidentify....!!?
 
Message sent, tutawaua ma nyie
 
Msemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime ametoa wito kwa Watanzania wote kutokutoa nafasi kwa watu wanaohamasisha uhalifu, migogoro au vurugu. Ametoa rai ya kutumia njia bora kama maridhiano, mazungumzo na uvumilivu katika kutatua tofauti.
David Misime kama umo humu JF ukae chini na wenzako muongee na muwe realistic, anzeni na chanzo cha yote haya ambacho ni utekaji na uuaji wa raia unaofanywa na Mafwele and his crew. Ili kueleweka kwa raia hilo lazima mli-address kwa namna yoyote alimradi mueleweke kwa wananchi, mtu anatekwa na kunakuwa na public outcry mnashindwa kuongelea hata kwa kuzuga? Kuongelea jambo publicly it’s a step towards dialogue.
Let me be honest with you, ulichoongea hapa ni upumbavu mtupu kwani unapambana na reactions za watu bila kwanza kuzungumzia chanzo kinachosababisha hizo reactions.
 
Na wale wanaofanya Uhalifu je mbona hawazungumzii ..........!!?

Mbona hawazungumzii akina Mafwele ambao Victims wamemuidentify....!!?
Huenda siri itavuja,hivyo nitarajie atawataja punde atakapo wakamata.
 
Unaongea ujingaujinga tu mrudisheni Polepole kwanza ndio muongee vizuri

Takataka 🗑
 
Wanao hamasisha na kuchochea vurugu ni watu wawili tu na Kila mtu anawafahamu
 
Back
Top Bottom