Kuelekea Oct 29 watawala wanajihami kwa mambo mawili, idadi ndogo saana ya watakaojitokeza kupiga kura kiasi cha kushtusha, pamoja na uwezekano wa kutokea maandamano makubwa yakuwashinda nguvu. Vyombo vya dola, matangazo kwenye media ni juu ya hizo hufu mbili. Si ajabu hata wao wamejianda kwa lolote incase,..,