figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,672
- 59,143
Salaam Wakuu,
Hadi sasa sijapata Orodha ya Mtu yeyote wa kitaifa kuhudhuria Msiba wake. Japo alliwapania. Hata IGP hatakuwepo.
Huyu Muhaya kesho Tarehe mbili anazikwa Bukoba Mkoani Kagera.
Huyu Jamaa aliua ndugu yetu, waandishi wetu Daud Mwangosi kwa sifa. Sasa anaenda peke yake kaburini kulala. Kudadeki.
Ntakuwepo nikishuhudiwa naye akizikwa... Nimeambiwa kuna Lubisi, na nyama za kutosha.. Naenda kula na kunywa nikicheka akizikwa. Naenda kushuhudia kifo cha watesi wetu.
Mungu ni wetu sote
Tunakaa mbelembele kama vile tunasikitika🤣🤣🤣
======
DCP KAMUHANDA AAGWA KWA HESHIMA, MWILI WAKE KUZIKWA KAGERA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa, ameongoza mamia ya waombolezaji wakiwemo maafisa, wakaguzi, askari wa vyeo mbalimbali, familia pamoja na wananchi, kuaga mwili wa DCP mstaafu Michael Kamuhanda.
Akizungumza katika ibada ya kuaga mwili huo Katekista Oscar Galashi amesisitiza umuhimu wa kuishi maisha ya huduma, uadilifu na upendo kwa jamii, akiwahimiza waombolezaji kuyaenzi mema ya marehemu DCP Kamuhanda kwa vitendo.
Amesema kuwa pamoja na majukumu mazito aliyokuwa nayo ya kulinda raia na mali zao, marehemu aliishi maisha ya kumcha Mungu bila kuchoka.
Kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa, ametoa pole kwa familia, ndugu na jamaa kwa kumpoteza mpendwa wao.
Aidha, DCP Mutafungwa amesema marehemu Kamuhanda alikuwa mtu wa watu, aliyependa kushirikiana na wananchi, jambo lililomfanya aheshimiwe na wengi enzi za uhai wake.
Ameongeza kuwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limepoteza mtu muhimu sana, kwani marehemu alikuwa msaada mkubwa katika kutoa ushauri na nasaha, hasa pale alipohitajika kutokana na uzoefu wake mkubwa kazini.
DCP mstaafu Michael Kamuhanda, aliyestaafu utumishi wa Jeshi la Polisi mwaka 2014, alifariki dunia tarehe 29 Januari, 2025, alipokuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Kanda Bugando, mkoani Mwanza.
Baada ya ibada ya kuaga mwili, Kamanda Mutafungwa aliwatakia familia na waombolezaji safari njema, kwenda Bukoba, Mkoani Kagera, kwa ajili ya taratibu za mazishi.
Mwili wa DCP mstaafu Michael Kamuhanda atazikwa Februari 02, 2026 katika kijiji cha Rubya, Ibale Wilayani Muleba Mkoani Kagera.

Mwwenyekiti na Chama cha Waandishi wa habari mkoa wa Iringa na mwandishi wa habari wa Channel 10 amepigwa risasi na polisi kwenye mkutano wa CHADEMA Mufindi.
---
Mwandishi wa habari wa Channel Ten mkoa wa Iringa na Mwenyekiti wa chama chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa Daud Mwangosi ameuwawa katika vurugu za Polisi na wafuasi wa Chadema katika kijiji cha Nyololo wilaya ya Mufindi mkoani Iringa leo.
Mwanahabari huyo Daud Mwangosi aliuwawa majira ya saa 10 jioni katika ofisi za Chadema Nyololo huku askari mmoja akijeruhiwa vibaya kwa risasi.
Kabla ya kuuwawa...

- Sir Leem
- apigwa risasi daudi mwangosi jeshi la polisi
- Replies: 893
- Forum: Jukwaa la Siasa