DCEA Mirungi ni halali Himo?

Tongo Elamu

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
2,904
Reaction score
4,397
Biashara ya mirungi imeshamiri sana hapa Himo na inauzwa kwa uwazi kabisa.

Asilimia kubwa ya Vijana (Ke na Me) ndiyo wateja wakubwa wa biashara hiyo.

Polisi Himo naamini wanawajua suppliers na vendors wa mirungi lakini hawawafanyi chochote. Labda kwa sababu wanafaidika na biashara hiyo au siyo sehemu ya kazi yao.

DCEA njooni Himo mtuepushie vijana wetu na janga hili.
 
Apo Himo Njia panda kuna kuna Kabar flani kapo chocho wahudumu wake ni wambulu vijana wanakula mirungi wanaweka mezani kama chakula
 
Wahusika wamekusikia boss , kongolee 🙏
 
Sio Himo tu,bali Kilimanjaro,Arusha na Manyara ni hadharani tu wanakula hayo majani
 
Hapo himo kuna wasomali flani ndo wanaofanya hiyo kazi ya kuuza mirungi na kuvusha wasomali wenzao kwa njia za panya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…